Readings Newsletter
Become a Readings Member to make your shopping experience even easier.
Sign in or sign up for free!
You’re not far away from qualifying for FREE standard shipping within Australia
You’ve qualified for FREE standard shipping within Australia
The cart is loading…
This title is printed to order. This book may have been self-published. If so, we cannot guarantee the quality of the content. In the main most books will have gone through the editing process however some may not. We therefore suggest that you be aware of this before ordering this book. If in doubt check either the author or publisher’s details as we are unable to accept any returns unless they are faulty. Please contact us if you have any questions.
Mahali fulani mashariki ya kati, sanduku la dhahabu la maajabu lilifichwa kutoka kwenye macho ya binadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna anayejua sehemu lilipo, lakini wengi walilitafuta, wakitumai kuwa mmoja wa watakaotatua siri: Liko wapi sanduku la agano?
Hadithi ya safina ilianza, sio wakati inatengezwa chini ya maelekezo ya Musa kwenye jangwa, lakini mbinguni, katikati ya vita kati ya shetani na Mungu. Matunda ya vita ilikuwa ni dunia iliyoanguka, majibu ya wokovu wetu ni sehemu ya sababu safina kutengenezwa. Yaliyomo ndani ya sanduku la agano ni kitovu cha maisha yaliyojazwa kwa neema ya Kristo.
Siku moja, wakati Yesu atakapokuja tena na kuonyesha sehemu iliyofichwa safina, maajabu ya muda mrefu yatatatuliwa. Lakini, kwa wakati huu, hapa kwenye hadithi ya safina ya dhahabu, na vitu vyake maalumu vilivyomo, na matokeo yake, sio tu kwa wale walioiona lakini kwa wale kati yetu watakaokuwepo humu duniani wakati wa mwisho.
$9.00 standard shipping within Australia
FREE standard shipping within Australia for orders over $100.00
Express & International shipping calculated at checkout